Thursday, October 27, 2011
Maisha ya konokono
Konokono wanakutana mara moja kwa tendo la kujamiiana kwa kipindi chote cha maisha yao. Na konokono ana pua nne.
Tuesday, October 25, 2011
Kope za macho
Wastani siku tunafumba kope za macho mara 15,000 kwa siku. Ila wanawake ni mara mbili ya wanaume.
Kiti cha kunyongea
Ukweli ni kwaamba kiti maalumu kinachotumika kunyonga wafungwa kiligunduliwa na daktari wa meno.
Chocolate inapoliwa
Wananchi wa-Uswiss ndio wanoongoza kula chocolate sana kuliko sehemu yeyote duniani.
Sunday, October 23, 2011
Saturday, October 22, 2011
Sayari venus
Sayari Venus ndio sayari pekee izungukayotoka upande wako wa kushoto kwenda upande wa kulia.
Uwezo wa tembo
Tafiti zinasema kwamba mnyama tembo ana uwezo wa kukariri amri zipatazo 60 toka kwa binadamu akifundishwa.
Friday, October 21, 2011
Uwezo wa panya kuishi
Panya nae anauwezo wa kuishi muda mrefu bila maji zaidi ya ngamia ukimtoa twiga.
Thursday, October 20, 2011
Soma hii ya ng'ombe
Je unajua kuwa ng'ombe akiwa anasikiliza mziki ndio hutoa maziwa mengi? Tafiti zinasema ivo.
Msuli pekee ulimi...
Unajua kua ulimi ndio msuli pekee mwilini mwako uliounganika na mwili wako mwishoni mwa ulimi husika?
Tuesday, October 18, 2011
Chafya ilivyo
Kwa jinsi ilivyo chafya, inapotoka mdomoni inasafiri kasi zaidi ya kilomita 100 kwa saa.
Uwezo wa twiga
Tafiti zinasama mnyama twiga ana uwezo wa kuishi muda mrefu bila maji zaidi ya ngamia.
Sunday, October 16, 2011
Chura hatapiki ila...
Chura hatapiki ila anachofanya ni kulitoa tumbo nje kupitia mdomo na mikono/miguu yake ya,mbele huitumia kuondoa kilichopo tumboni kisha kulirudisha tena ndani.
Ukweli wa chozi
Tafiti zinasema ukweli kwamba wakati unalia machozi toka machoni hukimbilia kukaukia puani
Usilolijua kuhusu Saud Arab
Mwanamke wa Ki-Saud Arabia ana uwezo wa kutoa talaka iwapo mumewe hatompatia kikombe cha kahawa.
Saturday, October 15, 2011
Kiumbe Jelly Fish
Ukweli kuhusu kiumbe wa baharini ajulikanae kama Jelly Fish mwili wake asilimia 95% ni maji tupu.
Usiyoyajua kuhusu Paka
Utafiti unasema kuwa sikio la paka kila moja lina jumla ya misuli thelathini na mbili (32).
Samaki Gold Fish
Samaki wa kufuga ajulikanae kama Gold Fish ana uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa muda wa sekunde tatu tu.
Friday, October 14, 2011
Mnyama Popo
Tafiti zinasema mnyama popo kila atokapo/watokapo kwenye pangoni huelekea upande wa kushoto.
Subscribe to:
Posts (Atom)