Tuesday, November 29, 2011

Urefu wa nywele

Iwe mwanamke/mwanaume kwa wastani maisha yake yote nywele hukua kwa urefu wa maili 590.

Monday, November 14, 2011

Mionzi ya jua

Mionzi ya jua inachukua dakika 8 na nusu kufika tulipo toka kwenye jua.

Lenzi ya jicho

Tafiti zinasema kuwa lenzi ya jicho la binadamu inaendelea kukua katika maisha yake yote.

Mzunguko wa dunia

Dunia inazunguka kwenye mzunguko wake mwezi machi taratibu zaidi kuliko mwezi septemba. Wanasayansi wanasema hivyo.

Sunday, November 13, 2011

Friday, November 11, 2011

Papa

Papa upanga (samaki) awapo anatafuta samaki wa dogo ili ale anawatafuta kwa kusikiliza mapigo yao ya moyo.

Usinguzi

Tafiti zinasema kwa wastani binadamu analala usingizi kwa dakika saba.

Saturday, November 5, 2011

Wednesday, November 2, 2011