Saturday, March 10, 2012

Uwezo wa kusukia

Wanasayansi wanasema uwezo wako wa kusikia unapungua unapokua kwenye joto kali sana, hata ulaji chakula uliopitiliza hupunguza uwezo wa kusikia pia. Kula kwa afya.

Harufu

Wanawake wanauwezo wa kunusa na kutambua harufu tofauti tofauti kuliko wanaume.

Kujitekenya

Coca cola

Soda aina ya coca cola awali uhalisia wake ilikua rangi ya kijani.

Usomaji na usikilizaji

Wanaume wanauwezo mkubwa kusoma maandishi madogo kuliko wanawake, wanawake wana uwezo mkubwa wa kusikia kuliko wanaume.

Saturday, February 4, 2012

Monday, January 9, 2012

Usafiri wa baiskeli

Mjini Tokyo usafiri wa baiskeli ndio wa haraka zaidi kuliko gari kwa safari isiyozidi dakika 50.

Sunday, January 8, 2012

Friday, January 6, 2012

Misuli mpaka kuongea

Kwa binadamu inachukua misuli 72 kufanya kazi mpaka kuweza kuongea.

Aleji

Tafiti zinasema watu wenye "aleji" wanaweza punguza mchakato/kasi/kuchanganya kwake kwa kucheka

Kope za macho

Kope za macho ya binadamu zinafumba na kufumbua kwa wastan wa mara 10,000,000 kwa mwaka. Tafiti zinasema hivyo.