Tuesday, December 27, 2011

Uzito wa mifupa

Mifupa ya binadamu inachukua uzito wa asilimia 14 kwa mwili wa binadamu.

Wingi wa damu

Mwanamke ana ujazo wa lita 4.5 za damu wakati mwanaume ana ujazo wa lita 5.6.

Upigapo muayo

Kwa kawaida unapopiga muayo unachukua sekunde sita kwa wastan mpaka kumaliza.

Thursday, December 22, 2011

Kinyume cha sheria

Ni kinyume cha sheria katika mji wa Georgia kumnasa kibao mbele au nyuma mwanaume.

Kuchakachua mtihani

Mji wa Bangladesh, India mtoto wa miaka 15 naweza kufungwa jela endapo atabainika akifanya udanganyifu kwenye mtihani.

Friday, December 2, 2011

Tetemeko

Tetemeko la ardhi hutokea pia mwezini (ulipo mwezi) tafiti zinasema hivyo.