Tafiti mbalimbali za kushangaza na ukweli ndani yake. Karibu kwenye kuyafahamu zaidi.
Saturday, March 10, 2012
Uwezo wa kusukia
Wanasayansi wanasema uwezo wako wa kusikia unapungua unapokua kwenye joto kali sana, hata ulaji chakula uliopitiliza hupunguza uwezo wa kusikia pia. Kula kwa afya.
No comments:
Post a Comment