Huku & Kule
Tafiti mbalimbali za kushangaza na ukweli ndani yake. Karibu kwenye kuyafahamu zaidi.
Friday, November 4, 2011
Masumbwi
Mchezo wa masumbwi ulipitishwa rasmi kisheria kuchezwa mwana 1901.
Uzito wa nyangumi
Nyangumi wa bluu ana uzito sawa na vifaru (wanyama pori) wapatao 40.
Popo na maisha yake
Maisha ya popo ni analala mchana wote na kutafuta chakula nyakati za usiku.
Sauti inasafirije?
Sauti inasafiri kwa kasi mara nne za ikiwa kwenye maji kuliko nchi kavu.
Mifupa ya binadamu
25% ya mifupa ya binadamu ipo kwenye miguu yake.
Wednesday, November 2, 2011
Nyangumi
Nyangumi tafiti zinasema kuwa korodani zake ikiwa moja ikiwa peke yake ina uzito wa kilo 500.
Usingizi wa ng'ombe
Ng'ombe ana uwezo wa kulala akiwa amesimama.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)