Thursday, October 27, 2011

Tuesday, October 25, 2011

Kope za macho

Wastani siku tunafumba kope za macho mara 15,000 kwa siku. Ila wanawake ni mara mbili ya wanaume.

Kiti cha kunyongea

Ukweli ni kwaamba kiti maalumu kinachotumika kunyonga wafungwa kiligunduliwa na daktari wa meno.

Chocolate inapoliwa

Wananchi wa-Uswiss ndio wanoongoza kula chocolate sana kuliko sehemu yeyote duniani.

Sunday, October 23, 2011

Tabasamu

Utafiti unaonyesha kuwa wanawake ndio wanaotabasamu zaidi katika maisha zaidi ya wanaume.